Wizara ya Afya: Mnaosafiri mwishoni mwa mwaka walindeni wazee vijijini

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
WIZARA YA AFYA: WANAOSAFIRI MWISHONI MWA MWAKA, WALINDENI WAZEE VIJIJINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ametoa wito kwa wanaosafiri kwenda vijijini kwa sherehe za mwisho wa mwaka kuwalinda wazee dhidi ya maambukizi ya #COVID19

Ameyasema hayo akiongea na Waandishi wa Habari, Jijini Dodoma ambapo amesema kwa sasa visa vya maambukizi vinaongezeka kwa kasi

Wananchi wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari ikiwemo kunawa mikono kwa maji tiririka, kuvaa barakoa na kupata chanjo
 
Huu sasa ndiyo uzalendo uliotukuka. Siyo hizi adversary za kiroboto:

IMG_20211211_161824_341.jpg
 
WIZARA YA AFYA: WANAOSAFIRI MWISHONI MWA MWAKA, WALINDENI WAZEE VIJIJINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi ametoa wito kwa wanaosafiri kwenda vijijini kwa sherehe za mwisho wa mwaka kuwalinda wazee dhidi ya maambukizi ya #COVID19

Ameyasema hayo akiongea na Waandishi wa Habari, Jijini Dodoma ambapo amesema kwa sasa visa vya maambukizi vinaongezeka kwa kasi

Wananchi wametakiwa kuendelea kuchukua tahadhari ikiwemo kunawa mikono kwa maji tiririka, kuvaa barakoa na kupata chanjo
Mabasi yote ya kwenda mikoani yamejaa,hakuna nafasi hawa watu wa Daisalama Mungu anawaona.
 
Naumwa mafua na homa Kali siku ya nne,Jana nimekunywa Pepsi imekua na ladha tofauti kabisa,sijawahi umwa mafua ya hivi
 
Back
Top Bottom