Maisha yamempa kila mtu muonekano kupitia njia zake, njia ambazo zinajenga taswira ambazo ni hadithi tu, hadithi zinazo tukumbusha kutosahau mtazamo mkuu wa kuwa sisi ni binadamu
Kupitia...
Baada yakupandwa hasira na kuamua kuondoka nchini hivi karibuni na kurudi kwako, Habari za hivi punde ni kwamba yule kiungo mwenye mwendo wa bibi harusi, mwendo wa pole kama mdudu aina ya konokono...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
wakuu kichwa cha habari kinajielza njooni mnipe program za kuflash simu nipo kijijini nijitafutie hela ya vocha hapa maana kuna changamto ya kuflash simu
NAWASILISHA
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini,pale coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
nliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo,usawa wa magoti...
Makamu Mwenyekiti wa CCM anazungumza na waandishi wa habari na wanaCCM katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma. Kikwete anategemewa kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo kujibu shutuma mbalimbali...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Elimu ya sekondari imekua ni muhimu kwa watu wote (elimu msingi), lengo ni kuwa kila mtu walau afike kidato cha nne. Ni jambo...
Mara kadhaa Chadema wamekuwa wanawadanganya watu wasioelewa kwamba eti Katiba Mpya ndio muarobaini wa Rushwa na Ufisadi licha ya kina Bob Wine kuwapa somo kwamba jambo Hilo linategemea uadilifu wa...
Kila mwanzo mpya huja kutoka mwisho wa mwanzo mwingine." ~Seneca
Ulimwengu unakutana na matukio mengi sana ya kutisha, hasa baadhi ya wanadamu kukatisha uhai baada tu maisha yao kupatwa na hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.