Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua...
Katika dunia ya sasa, tunaona shetani akitumia wasanii mbalimbali kuharibu kizazi hiki.
Tumeona wasanii wa bongo fleva watu wote waliojiunga na freemasonry, wakija na project mbali mbali za...
Mpango mkuu wa Waislamu wenye itikadi ya kuinua Khilafa (yaani utawala wa Kislamu)
Mpango huu una mafiga makuu matatu ambayo ni;
1) Kuitwaa Makka
2) Kuitwaa Yerusalemu
3) Kuitwaa Kostantinopo...
Nimepita YouTube nikakutana na mwaidha ya sheikh mmoja anayeitwa Dr. SULLE, ukimsikiliza kwenye video anasema Ibrahimu alikuwa Muislam, sijui na Hekalu lilikuwa la waislamu, na wakati huo huo...
NAPE AMVAA LISU KUTUMIA MANENO YA KIBAGUZI KWA RAIS SAMIA
“Watanzania asilimia 70 mpaka 80 tumezaliwa baada ya muungano, kwa hiyo hatujui kule nyuma sisi tunajua muungano wetu, ndiyo maana ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.