Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Christina atatafuya pa kujificha.
Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye...
Hapo zamani mitandao ilileta routers na modem za kampuni maarufu kama Huawei na zote,
Ma IT na mafundi wengi waliweza kuzifungua kwasababu wazungu, wachina, wahindi, waarabu, n.k. walikuwa...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
MAONESHO YA TEKNOLOJIA ZA KISASA KWENYE KILIMO KUANZA KESHO DODOMA
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Mhe. Gerald Geofrey Mweli leo April 29, 2024 Jijini Dodoma ametembelea na kukagua maandalizi ya...
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
Mji wa Makka ndio kitovu cha Uislamu duniani. Kwenye mji huu ndiko iliko Ka’aba, au kama wanavyoamini na kuiita Waislamu Bait – ul- Haram; au Bait – ul- Allah, yaani ‘nyumba ya Allah’ au ‘nyumba...
1. Vyuo vikuu au taasisi za elimu ya juu ni sehemu nyeti Kwa usalama wa taifa kama ilivyo Kwa jeshi.
2. Ni ukweli usiofichika kuwa bongo bora kabisa katika nchi katika kizazi husika hupatikana...
Wakuu tangu Kanumba atoweke tasnia uigizaji nchini imekua haifuatiliwi sana watanzania waliowengi.
Hivi bwana Simba hawezi kuziba pengo la Kanumba kweli?
Nyimbo nyingi za Simba zimekua zikianza...
Je supu ya ngozi ya ng'ombe inayouzwa maeneo ya mbagala inausalama kiafya
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Supu ya ngozi imayochanganywa na mapupu & bandama ambayo hupelekea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.