Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu, Hawa wadudu wameapishwa kuwa walinzi na kupambana watu kwa mafunzo gani? Kwa sifa gani walizonazo mpaka Makonda ameamua kuwaapisha? Huku "KUPAMBANA" na kila mtu "AKAYECHAFUA" heshima na...
0 Reactions
3 Replies
12 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
15 Reactions
99 Replies
964 Views
Wakuu nataka nikapumzike Cape Town kama siku 3 hivi. Ndege gani nitapata ticket cheap? Nimechek Rwandair, Ethiopian na Kenya Airways Direct flight to CPT ni maumivu matupu. Eg. KQ (Dar-CPT-Dar)...
3 Reactions
44 Replies
978 Views
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile jumapili iliyopita wakati wa ibada katika kanisa lake linalojulikana kama, 'Kikosi kazi cha injili', alimuita mmoja wa waumini wake kijana anayeitwa Eliya na...
7 Reactions
131 Replies
3K Views
Wakuu waliotunga Sheria ya Mtanganyika kutoruhusiwa kumliki ardhi Zanzibar wakati wazanzibar wanarusiwa kumliki ardhi Bara waliwaza nini? Kuna jamaa amekaa Zanzibar miaka miwili na kapata kiasi...
5 Reactions
91 Replies
10K Views
Habari wanaJF, Niende kwenye point, nimekuwa na tatizo la kuahirisha vitu nivipangavyo. Siyo kwamba siwezi ila ukifika muda tu najikuta tu labda nafanya kitu then nasema nikimaliza nitafanya...
8 Reactions
54 Replies
1K Views
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
13 Reactions
124 Replies
6K Views
Habari za humu wadau, mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 now,but mwakani mwez 12 mwakani ninatimiza miaka 29. Kipindi nilipokuwa nina miaka 21-25 nilikuwa namshangaa ndugu yangu mmoja kwamba...
11 Reactions
99 Replies
838 Views
https://youtu.be/OPKS_zUEQ_U?si=I9uLLW8isDYT9ntg
0 Reactions
5 Replies
82 Views
Mu hali gani wana JF Nimehamasika kushiriki mijadala pamoja nanyi Nimehamasika kuelimika kupitia JamiiForums Nimehamasika kuheshimu kanuni na sheria za jukwaa Nimehamasika kuwaheshimu nyote...
1 Reactions
1 Replies
19 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,425
Posts
49,546,242
Members
667,458
Latest member
Popa900
Back
Top Bottom