Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Songwe, Augustino Senga amesema wanamshikilia mwandishi wa habari (41) (ambaye jina lake limehifadhiwa) kwa kosa la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu...
Ukiangalia kwa makini watu wenye asili ya kigoma ni kwamba utagundua kuwa ni so innovative, brilliant, akili kubwa na ndo wana run tanzania hii.
Mfano.
Ali kiba
Diamond platnumz
Haji manara...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
14 April 2024
KUHUSU UHALIFU NA UPOTOFU ''Crime & Deviance''
Mchambuzi na mtafiti wa masuala mbalimbali ya kijamii mwana sociolojia Bw. Bituro Paschal Kazeri...
Nilikuwa nikifikiri ni Quora pekee ndiyo jukwaa ambalo mada zinajadiliwa kistaarabu na "seriously", lakini sasa nimeshaibadili mtazamo.
Nimekutana na mada ya toka mwaka 2012 ambayo imeendelea...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
Habari za wakati huu Wana jukwaa hili.
Leo nimekuja hapa na hoja ya matumizi ya mali za Umma katika shughuli za Chama chochote cha siasa.
Wote tunajua kuwa siyo sahihi na ni kosa kisheria, mali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.