Prof. Palamagamba Kabudi has admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory Gwanda has “disappeared and died”

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Akihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari.

Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema serikali inaendelea na uchunguzi.

Waziri amesema hali ya Kibiti na Mkuranga ilikuwa tete na haijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru wake.

Askari wa polisi, viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wa chama tawala CCM waliuawa katika kadhia hiyo lakini kwa sasa amani imerejea na hali ni shwari.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia!

UPDATES;

Palamagamba has just admitted on BBC FOCUS ON AFRICA that Azory has “disappeared and died”.

WAZIRI wa Mambo ya ndani Palamagamba Kabudi akiri mwandishi wa Habari Azory Gwanda alitoweka na kufariki, ikiwa ni zaidi ya siku 500 tangu kutoweka kwa mwandishi huyo wa habari za uchunguzi.

UPDATES;

Kabudi akana kusema kwamba alithibitisha Azory Gwanda alifariki, zaidi soma;

Nimemuona katika kipindi cha Focus on Africa akihojiwa na Peter Okoche; the guy seems to be an incorrigible liar! Alipoulizwa kuhusu magazeti na vituo vya radio kufungiwa alikana na kudai kuwa ni gazeti moja tu, The Citizen ndiyo iliyopata kufungiwa; tena kwa wiki moja! Kwa hiyo kulingana na waziri wetu Mseto, Mwanahalisi, Mawio, nk yamejifungia yenyewe! Incredible.
 
Nimemuona katika kipindi cha Focus on Africa akihojiwa na Peter Okoche; the guy seems to be an incorrigible liar! Alipoulizwa kuhusu magazeti na vituo vya radio kufungiwa alikana na kudai kuwa ni gazeti moja tu, The Citizen ndiyo iliyopata kufungiwa; tena kwa wiki moja! Kwa hiyo kulingana na waziri wetu Mseto, Mwanahalisi, Mawio, nk yamejifungia yenyewe!
unapomsoma na kumsikiliza Prof.Kabudi kama unamsikiliza Mbowe au Sugu lazima utoke kapa. that man ability is beyond your understanding, hivyo jitahidi kumuelewa zaidi
 
Akihojiwa na mtangazaji Zuhura Yunus wa BBC, waziri Kabudi amesema Tanzania kuna uhuru wa kutosha wa vyombo vya habari.

Alipoulizwa kuhusu kupotea kwa mwandishi Azory, Prof Kabudi amesema serikali inaendelea na uchunguzi.
Waziri amesema hali ya Kibiti na Mkuranga ilikuwa tete na haijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru wake. Askari wa polisi, viongozi wa serikali za mitaa na viongozi wa chama tawala CCM waliuawa katika kadhia hiyo lakini kwa sasa amani imerejea na hali ni shwari.

Source BBC Dira ya Dunia!
Ile mimacho kama vile naiona.
 
Wewe umesikiliza BBC ipi? Kasema Azory amepotea na alishakufa.
Swali kumbe anajua alishakufa? Lini na kazikwa wapi. Nani waliomuua?
 
Nimemuona katika kipindi cha Focus on Africa akihojiwa na Peter Okoche; the guy seems to be an incorrigible liar! Alipoulizwa kuhusu magazeti na vituo vya radio kufungiwa alikana na kudai kuwa ni gazeti moja tu, The Citizen ndiyo iliyopata kufungiwa; tena kwa wiki moja! Kwa hiyo kulingana na waziri wetu Mseto, Mwanahalisi, Mawio, nk yamejifungia yenyewe! Incredible.
Kwake yeye hayo mengine siyo magazeti. Ni makitu ingine.
 
Nimemuona katika kipindi cha Focus on Africa akihojiwa na Peter Okoche; the guy seems to be an incorrigible liar! Alipoulizwa kuhusu magazeti na vituo vya radio kufungiwa alikana na kudai kuwa ni gazeti moja tu, The Citizen ndiyo iliyopata kufungiwa; tena kwa wiki moja! Kwa hiyo kulingana na waziri wetu Mseto, Mwanahalisi, Mawio, nk yamejifungia yenyewe! Incredible.
Ndio maanaaa anashangilia kuitwa MPUMBAVU,
 
Back
Top Bottom