Leo tarehe 02.05.2024, TRA imetoa elimu juu ya athari za magendo kama vile kuhatarisha afya kwa kuingiza bidhaa zisizo na ubora kwa wakazi wa soko la Gwanumpu lililopo Ujirani Mwema mpakani mwa...
Mnyonge mnyongeni, lkn haki yake mpeni.
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Ni misemo baadhi ambayo makonda inaweza kumfaa kuelezea namna alivyo. Makonda kama angekua kwenye movie basi ni wale...
Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwa nini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili...
Kwa Sasa CCM siyo tena chama cha Siasa bali ni kundi kubwa la watu linalotumia Siasa kujitajirisha.
Wakati wa enzi za Ali Hassan Mwinyi akiwa Mwenyekiti (1993-1994) wa chama hicho, mojawapo wa...
Kuna wanawake wawili niliwahi kuwatokea wakati huo kwa kipindi tofautitofauti wakati nikiwa single sababu niliona ni watu sahihi
1.Nilimwambia dhamira yangu kweli aliniambia kwamba ana mtu wake...
1. Ndio waliotaka mfumo wa vyama vingi
2. Ndio waliofanya Tanzania bara izinduke kiupinzani wa siasa za upinzani
3. Ndio waanzilishi wa hizi Tv
4. Waanzilishi wa biashara
5. Hawanuniliki wapinzani...
Mafundi waliopelekwa nyumbani kufanya ukarabati au ujenzi wa nyumba wametumia mwanya huo kuchora ramani na kukariri vitu mbalimbali kwenye nyumba hiyo, pale waliposafiri na kumuacha housegirl...
Kibu analeta sanaa ya mpira kama walifanya wakina Fei na Dube, Simba wajiandae kwa lolote
Kiungo mshambuliaji wa Simba sc Kibu Densi amegoma kusaini mkataba mpya akiwa ameweka vikwazo vingi kwa...
Neno linalotumika kutafsiri neno la AI artificial intelligence Kwa Kiswahili sio sahihi kuita akili bandia ni kupoteza maana halisi ya Ai artificial intelligence. Neno kwenye maana Bora iitwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.