Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baraza la mawaziri la waziri mkuu Benjamin Netanyahu limeunga mkono kuzimwa operesheni za Al Jazeera nchini Israel kwa muda wote ambao vita ya Gaza itakuwa ikiendelea, kwa misingi kwamba mtandao...
2 Reactions
23 Replies
575 Views
Moja kwa moja kwenye mada… Huyu rafiki yangu alinitongoza sana. Yani miaka 3 straight anafukuzia tu, nipe nipe.. Mapenzi game la nyoka bwana, nikaachika huko. Nikasema nimpe chance huyu mgaagaa...
75 Reactions
312 Replies
7K Views
Hapa hatujapigwa kweli wakuu?
4 Reactions
19 Replies
397 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
69K Views
Siyo mzaha jamaa kwa biashara wako vzr sna Kuna mtaa naishi hapa dodoma Basi kulifunguliwa vi car wash Kama mbili tatu hv na baadae mchaga mmoja ambae Ni Dr wa Benjamin mkapa nae akaja kuanzisha...
11 Reactions
87 Replies
2K Views
"Ukiona Wewe ni Kiongozi halafu Kutwa unasifiwa na Watu wa Magharibi ( Wazungu ) na siyo na Watu wako wa nchini Kwako jua una matatizo na kuna shida mahala" Kalonzo Musyoka. Chanzo: Citizen TV...
0 Reactions
3 Replies
8 Views
Mnakubali vipi Mzanzibari kuongoza Bara, Tuanze na Shaka hamdu Shaka mkuu wa wilaya ni Mzanzibari mbona Zanzibar hakuna mtanganyika anayeongoza?
14 Reactions
131 Replies
4K Views
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao. Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi...
8 Reactions
18 Replies
283 Views
Tangu utaratibu wa ushuru wa maegesho uondolewe TARURA na kupelekwa katika halmashauri umegeuka kuwa wizi wa wazi wa serikali dhidi ya wananchi wake. Mawakala wa halmashauri wanaohusika na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Katika MAISHA ikiwa umetokea familia masikini unaweza kuwa na haya mawazo au fikra hizi. Pesa au mali za urithi zinaweza kukufanya na wewe kuwa na mali. Ni rahisi Sana kuzaliwa ukiwa mtoto wa...
3 Reactions
4 Replies
173 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,679
Posts
49,581,470
Members
668,092
Latest member
Pombe chafu
Back
Top Bottom