Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

All the Best Mnyama 🦁 Updates za Mchezo wa Leo.. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Updates... Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo. Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora DK 5'...
7 Reactions
124 Replies
2K Views
Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka.. Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online. Nifanyaje...
4 Reactions
38 Replies
170 Views
Ni hivi hapa ADA TADEA, CCK , NLD, Demokrasia Makini, NCCR- MAGEUZI, TLP, UPDP, SAU , UMD, NRA na Chama cha DP.
1 Reactions
6 Replies
64 Views
Kwema jamani Vyuma vimekaza natamani nipate hata hiyo tenda ya kuandikisha daftari la wapga kura. Ishu ni kwamba cheti cha form four nilipoteza. Je, hakuna namna naweza kupata hii dili...
0 Reactions
7 Replies
285 Views
Hizi ofisi za umma zina shida sana, leo nimeamka mapema sana nikasema acha nije wanikadirie ili nilipe kodi yao. Shida inaanza wananiambia TIN haisomi location ya hapo kwao hivyo inabidi...
9 Reactions
21 Replies
385 Views
Katika CCM ya sasa watu pekee ambao naweza kusema wana maarifa na uwezo wa kuweza kujibu hoja nzito za wapinzani na Watanzania ni Makamu Mwenyekiti wa chama Ndug. Abdulrahman Kinana na Katibu Mkuu...
16 Reactions
57 Replies
3K Views
https://youtu.be/86vSal-Mwkc?si=QMUDUEam0cbA4C44
0 Reactions
0 Replies
1 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
69K Views
Nina gari yangu Pajero mini dash board inaonyesha Ile sign ya battery/AT na nimeprove alternator haifanyi kazi maana nikichaji battery gari inatembea mpaka battery inaisha kabisa Sasa wataalam...
1 Reactions
6 Replies
167 Views
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach. Kipindi nasoma nna kama miaka 17 niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
76 Reactions
463 Replies
15K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,683
Posts
49,581,614
Members
668,117
Latest member
Nunuu ali mohd
Back
Top Bottom