Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dar es Salaam. Tarehe 6 Mei 2024: Benki ya CRDB imeandika historia nyingine kwa kupokea cheti cha kimataifa cha masuala ya mazingira baada ya jengo lake la Makao Makuu kukidhi vigezo vya kimataifa...
0 Reactions
5 Replies
289 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
925 Reactions
1M Replies
40M Views
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia...
3 Reactions
14 Replies
220 Views
Kuna uzi upo humu jukwaani tulikuwa tunabishana na majamaa kuhusu hizi diss tracks zinazotolewa na Kendrick Lamar na Drake. Hii bifu tunaoifaidi vizuri ni sisi tusio mashabiki wa Kendrick wala...
2 Reactions
10 Replies
147 Views
Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 19,000/= kuanzia 3 Tunapatikana tabata kinyerezi(Biashara ya Mtandaoni), tunafanya...
0 Reactions
0 Replies
12 Views
Siku kama nne nyuma niliota nipo napita njia ambayo kiuhalisia naijua hiyo njia lakini sikuwahi kuipita, yaani unaiona njia inaelekea huko ila sijajua inaishia wapi nasjawah kujishughulisha kisha...
7 Reactions
89 Replies
807 Views
Kenya mombasan ina Vijana wanaojua sana Mziki, Kiufupi wanajua kuandika, wanajua kupangilia production wanajua kupangilia melodies na vocal tatzo sijui kwanini hawavumi kama wasanii wa Nairobi...
2 Reactions
30 Replies
989 Views
Wizara ya Elimu tunaomba mfute mtihani wa darasa la nne kwasababu unaleta mkang'anyiko kwa watoto watakao maliza la SITA na kuingia moja kwa moja kidato cha Kwanza maana yake watoto watakao maliza...
2 Reactions
14 Replies
187 Views
Habarini wadau.... Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu...
3 Reactions
44 Replies
990 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,801
Posts
49,585,510
Back
Top Bottom