Lissu na timu yake ile inayotaka kujitenga CHADEMA (Msigwa na John), ni Wanufaika wa Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, Wamesomeshwa na Matunda ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Nilishawahi kuwaonyeni wana CCM hapa hapa JamiiForums kuwa huyu Mtu ( Mtani wangu kutoka Singida ) Tundu Lissu Genius akiwa anatoa Makombora yake Kwenu ambayo ni mazito na yanahitaji Akili Kubwa...
My people love me yeah
Tokea way back
Naipata love ya mtaani
Tokea way back
Kama kutoa hit mtaani tokea way back yeah
Kama kuhusu swagga baba tokea way back Yeah
My people love me yeah
Tokea way...
Mimi nliwahi nusurika kuzama baharini, pale Coco beach.
Kipindi nasoma nna kama miaka 17
niliingia na wenzangu kwenye maji ila upande wangu sikushika boya nliingia kama nlivyo, usawa wa magoti...
Aliyesema kilimo ni uti wa mgongo au kale kamsemo ka mhenga kuwa kama mnataka mali mtayapata shambani aje Zanzibar. Hata ule msemo wa kwenye bible kuwa asiyefanya kazi asile aje Unguja atengue...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Kwanza tuanze kwa kuzungumza kuhusu sheria za mambo ya bahari. Sheria za kimataifa zinasema kuwa kutoka Pwani ya nchi hadi nautical miles 12(22Km)kuingia baharini(1NM=1.85km). Ni eneo la bahari la...
SHEMSA MOHAMMED (M/Kiti CCM Simiyu ) Atembelea Kaya 413 Zilizozingirwa na Maji Lamadi
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Simiyu Shemsa Mohammed amefika na kutembelea kaya zaidi ya 400 katika vitongoji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.