Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sisi wanaume ni ngumu kujua hatujapewa huo uwezo machoni, labda iwe ni wazi wanaonesha hawampendi. Sababu ni hizi 𝗪𝗶𝘃𝘂 Ukute wewe ni mtu unaewajibika kwa mkeo, unampenda na kumjali na unamtunza...
2 Reactions
23 Replies
360 Views
Dunia ya leo watu wengi hufanya utalii wa ndani au wa nje ya nchi zao si kwa ajili ya vivutio vya asili vya mazingira na majengo tu bali kwa ajili ya kufurahia utalii wa vyakula vya asili na...
18 Reactions
2K Replies
42K Views
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
6 Reactions
101 Replies
1K Views
1. Rafiki wa kweli hujulikana wakati wa dhiki: 2. Hii itakuwa habari mbaya mno kwa wasayuni wote kuanzia Tell Aviv, hadi Buza pande za kwa Mpalange huko. 3. Mwizi ni mwizi tu huyo ni wa...
0 Reactions
8 Replies
110 Views
1. Usipende kuongea kama utani madhaifu ya marafiki zako au jirani ili ufurahishe watu 2. Hakikisha unasalimia majirani hata kama huna story nao 3. Hakikisha unaanza kusalimia watu unaowakuta...
5 Reactions
7 Replies
8 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Asilimia kubwa ya waandishi wa habari nchini hawana mikataba ya ajira na hawatambuliki na mifuko ya hifadhi ya jamii. Hali hii inatokana na ukweli kwamba waandishi wengi wa habari hawana capacity...
0 Reactions
2 Replies
58 Views
Habari kwa wanaJamiiForums wote! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, siku ya jana baada ya kuifungua account yangu ya whatsApp niliendelea na mambo yangu ya kawaida (ku-chat na kuangalia...
5 Reactions
29 Replies
482 Views
Kwa wale wasiotaka au wasiopenda Dodoma kuwa makao makuu ya nchi kwa sababu eti mji mdogo kuliko Dar es Salaam au Arusha, basi kwa taarifa yenu kuna nchi nyingi tena nchi kubwa na maarufu katika...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kika0 cha 28, leo Mei 17, 2024 ambapo Waziri Dkt. Gwajima D atasoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,469
Posts
49,632,483
Back
Top Bottom