Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo. Kwa anayewafahamu anisaidie
6 Reactions
124 Replies
3K Views
Kwa yanayoendelea ndani ya siku moja kufutiwa nyuzi au kubadilishiwa content ili zisound kama za mwijaku na mama anaupiga mwingi hapa JF hakika hatuna chetu tena nimelia sana. Ule uzi jf ni chombo...
8 Reactions
40 Replies
226 Views
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea. Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention Dar Arusha...
14 Reactions
143 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
1. Rafiki wa kweli hujulikana wakati wa dhiki: 2. Hii itakuwa habari mbaya mno kwa wasayuni wote kuanzia Tell Aviv, hadi Buza pande za kwa Mpalange huko. 3. Mwizi ni mwizi tu huyo ni wa...
1 Reactions
19 Replies
347 Views
Wakuu heshima yenu! Heading inajieleza, mimi ni kati ya wale watanzania waliobahatika kuishi mikoa mingi hapa nchini, kiukweli Nchi yetu kwa kiasi chake imebarikiwa kwa uzuri nimeishi Maeneo kama...
4 Reactions
34 Replies
632 Views
Wimbo wameimbia mshikaji na demu unapoanza anaanza kuimba dada anasema "ana stress siku mbili hajala" sina hakika kama nimepatia. Ahsanteni
1 Reactions
40 Replies
269 Views
Kutoka Ufaransa , Mwenyekiti Samia amefanikiwa kuitambulisha ajenda yake ya kuwasidia Wakinamama wa Afrika kuondokana na matumizi ya Kuni na mkaa(Nishati chafu) Kwa kufanikiwa kupata ahadi za...
8 Reactions
132 Replies
1K Views
Mikoa ya Arusha na Manyara imetajwa kuwa na Kiwango kikubwa cha Ukeketaji nchini Tanzania ikiwa na Wastani wa 43% ya Vitendo hivyo ikifuatiwa na Mikoa ya Mara 28%, Singida 20% na Tanga 19% Mikoa...
0 Reactions
5 Replies
236 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,683
Posts
49,638,217
Back
Top Bottom