Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Baada ya Mapumziko ya Jumapili, leo tena ile kazi ya Ukombozi wa Nchi inaendelea. Tundu Lissu anaongoza Maandamano ya amani ya kupinga ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi. Mkoa wa...
8 Reactions
81 Replies
3K Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
11 Reactions
108 Replies
3K Views
KILA MTU MUWEKEE UKOMO WA KUKUFAHAMU. 1. Kuna watu waishie kujua majina yako tu. 2. Kuna watu ruhusu wafahamu zaidi ya majina yako. 3. Kuna watu zuia kabisa wasijue chochote kuhusu familia...
16 Reactions
28 Replies
678 Views
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
10 Reactions
68 Replies
832 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
30 Reactions
113 Replies
3K Views
Miaka ya 2019 - 2020 nikiwa shule (advance) niliwahi kuzama kimapenzi na mtoto wa watu (alikua amehamia shuleni pale kwa muda). Alikua karibu sana na mimi na tulishea mengi sana (lifestyle and...
3 Reactions
12 Replies
154 Views
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika?! 2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na kina Muroto?! Hawa ndugu si walikuwa wakimnyooshea kidole jiwe dhidi ya migomo na...
5 Reactions
83 Replies
1K Views
SIKU ya mazishi ya HAYATI MAGUFULI, Membe, Kinana, Nape, Makamba Baba na Makamba mtoto hawakuonekana mazikoni nini kiliwasibu kutomzika Magufuli? Maswali haya walijiuliza watanzania wengi kwamba...
14 Reactions
74 Replies
7K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,725
Posts
49,526,088
Members
667,226
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom