Haya ni maisha ya kawaida kwa mikoa iliyo mingi hapa Tanzania labda ukiiondoa Dar pekee.
Maisha ya mikoani ni full kufatiliana wajue unafanya nini au unapanga kufanya nini na lengo sio kusaidia...
Habari wakuu,
Kiukweli kwenye haya maisha sio lazima ufundishwe kila kitu. Kuna wakati unafika unajaribu kupambana na kulifanya jambo fulani ndipo unakuja kujua mtu mwenye mafanikio ni wa...
Dakika tatu za MNYIKA Kimara, Technical Knockout (TKO)..
Leo nimejikuta nakumbuka pambano la ngumi uzito wa juu ambalo tulipewa hadithi nyingi na kulazwa alfajiri Kati ya ya Mike 'iron' Tyson na...
Oleksandr Usyk anakua UNDISPUTED CHAMPION wa kwanza wa Heavyweight (Boxing) kwenye 4 belt Era, mara ya mwisho Undisputed Champion kwenye division hii alikuwa Lennox Lewis mwaka 1999 wakati wa...
YALIYOMO
NINI MAANA YA NICHE NA JINSI YA KUTENGENEZA 2
Kwanini sasa tunakuwa tunazungumzia Habari ya niche? 5
MANUFAA MAKUBWA YA KUMILIKI FOLLOWERS WA NICHE FLANI 14
WATU WANAOTAMANI KUJIPATIA...
Dar es Salaam. Unaweza kusema hafla ya uwekaji jiwe la msingi la upanuzi wa barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam umewakutanisha wanachama wa CCM na Chadema.
Wanachama hao wakiwa wamevalia...
Imedaiwa kuwa Safari ya siku 4 ya Rais William Ruto ambaye amealikwa na Rais Joe Biden, itagharimu takriban Tsh. Bilioni 3.94 kutokana na uamuzi wa Ikulu ya Kenya kukodi Ndege aina ya Boeing...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimeishi na mke wangu zaidi ya miaka 30, lakini nilihisi ana bwana wa pembeni, nikaanza kufanya uchunguzi, kweli nikafuma baadhi ya msg , ambaxo kwa tabia...
Kwa manufaa na heshima ya nchi ni vema TFF ikahakikisha Simba inaungana na Yanga kwenye Ligi ya Mabingwa.
Nasema hivi kwasababu ndizo timu pekee zilizo serious na mpira wa miguu. Azam ni timu ya...
[emoji725][emoji725][emoji725][emoji725]
Leo tuangukie Sita kwa sita !! ..ni ndefu ila maliza ,ikuongezee kitu,
Huko nyuma niliwah andika uzi namna gani ya kua na uwezo wa kuhimili tendo zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.