Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).
Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mm bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi sana...
Ndugu zangu wana JAMIIFORUMS hapo mwanzo nilikuwa muhanga wa kutafuta Ajira hapa nchini kwakweli nilihangaika sana.
Nilibahatika kupata kazi kwenye kampuni mbali mbali ikiwemo GARDAWORLD baadae...
Wananchi wa Mwanza tumekuwa tukifuatilia kwa karibu ujenzi wa jengo la abiria la uwanja wa ndege la Mwanza linalotarajiwa kuufanya uwanja huu kuwa wa kimataifa.
Aliyekuwa RC wa Mwanza Makalla...
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga.
Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono .
Mdoli waneupaka rangi ya...
Skendo inayomuandama msanii maarufu wa miondoko ya HipHop wa nchini Marekani, Puff Daddy a.k. P Didy, inazidi kupamba moto baada ya CNN kupandisha mitandaoni video inayomuonesha akimpiga vibaya...
Wakuu Heshima mbele!
Jana nilipokuwa natazama vikao vya bunge vinavyoendelea Dodoma.
Mbunge msambantavangu alikuwa akizungumza kuhusu ukatili wa kijinsia, anasema imekuwa ni kawaida kuripoti...
niende moja kwa mbili kwenye mada kuu. kuna hawa watoa nikopo wa sasa kwa njia ya Mtandao Dah wanafanya kitu cha AJABU sana
hizi ni kampuni za HOVYO sana mana wanakopesha wanawake ambao hawana...
Amenidump kwa mara ya pili. Nilikiuwa na mahusiano na mwanaume huyu kwa miaka mitano kabla hajaniacha na kwenda kuoa. Nilipoteza mawasiliano nae kabisa na kumfuta kwenye moyo wangu. Ndoa yake...
kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.