Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba...
0 Reactions
15 Replies
73 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
513K Replies
29M Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
4 Reactions
209 Replies
5K Views
  • Article
ClownFish wana uwezo wa kujibadilisha jinsia kutokea dume na kuwa jike.
0 Reactions
2 Replies
3 Views
KWANINI MJI ULE ULIITWA ROMA? Roma ni mji mkuu wa nchi ya Italy, ni mji wenye historia ndefu duniani... Kwa maana historia yoyote ya dunia haitokamilika kama hujaizungumzia au kutaja Neno Roma...
8 Reactions
14 Replies
684 Views
Wanaukumbi. Bunge la Marekani limepitisha kitendo ambacho kinapiga marufuku kabisa kuongea na kupinga Israel. Hata ukihubiri sehemu za biblia zinazosema wazi siku ambazo Wayahudi walimuua Kristo...
1 Reactions
28 Replies
686 Views
Kimapenzi, kwa mwanamke kuwa karibu na Diamod Platinumz, hapo huyo mwanamke atayeyuka kama siagi ikikatwa na kisu cha moto! Kwa wanaomfahamu Diamond, hajawahi kumuacha mwanamke salama. Christina...
14 Reactions
84 Replies
4K Views
Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za...
13 Reactions
134 Replies
6K Views
Wakuu nadhani ni muda wa vyombo vya usalama kuamka na kuchunguza walio nyuma ya Lissu na nia ovu kupitia suala la Muungano. Anachokifanya Lissu kipo kimkakati sana na hadi sasa naona kafanikiwa...
-1 Reactions
50 Replies
964 Views
  • Suggestion
Umma utafanikiwa pengine ukapiga hatua kama utatambua thamani ya kuwapa madaraka watu wa miongoni mwao, wenye uwezo yakinifu, waliojawa na imani ya chachu ya kutaka mabadiliko na wakatambua...
0 Reactions
1 Replies
11 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,475
Posts
49,547,590
Members
667,504
Latest member
limbaranguri
Back
Top Bottom