Mkuu wa mkoa wa Njombe Antony John Mtaka umekuwa ukisifiwa na wengi Kwa kauli imara za kiongozi. Nakufahamu vizuri, wewe ulianza kama Polisi na ukaacha kazi mara ulipopewa nafasi ya kuwa mkimbiza...
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga.
Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono .
Mdoli waneupaka rangi ya...
Mafundisho mapya ya kanisa kuhusu "matukio ya kimuujiza" yatatangazwa kwenye mkutano na waandishi wa habari utakaofanyika na Vatican siku ya Ijumaa. Taarifa hii imechapishwa kwenye tovuti ya Ofisi...
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke.
Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona...
Watanzania wengi ni matomaso, ukiwasimulia tu hivi hivi, hawaamini. Nashauri gari ya Tundu Lissu isibadilishwe muonekano wake baada ya kupigwa risasi, matundu ya risasi yabaki, gari itengenezwe...
Salamu kamsalimie waziri wa Afya.
Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii.
Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=...
Kwa vielelezo na ushahidi mkubwa, bila shaka Tanzania ina baadhi ya viongozi ambao akili yao yumkini ni chini ya wastani wa akili ya mwanadamu.
Fikiria kuwa serikali kwa takwimu inaeleza jinsi...
Baada ya Barua hii kuwekwa hadharani, ndio mtajua maana halisi ya Unafiki wa viongozi wa Tanzania.
Tumeamua kuanika Hotuba hiyo sasa ili kuunganisha matukio yanayotokea kwenye wiki hii ya Mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.