Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Fikra zinanipeleka mbali sana.Hamna Siri tena be carefully when you post
0 Reactions
2 Replies
46 Views
Kufuatia video inayosambaa mtandaoni ikionesha Mtu akipatiwa adhabu ya kugalagala chini pamoja na kuruka kichura baada ya kukaidi kulipa ushuru wa halmashauri kwa watumishi wanaohusika na...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
3 Reactions
12 Replies
156 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
13 Reactions
244 Replies
3K Views
Ni muda mrefu sasa baada ya kilaza kupewa Cheti kutoka UDOM kwa msaada wa Baba yake aonekana.
3 Reactions
42 Replies
680 Views
Iko hivi. Huyu jamaa alikuwa mchizi wangu tokea utoto (maana tulicheza wote mpira na gololi mitaa fulani ya Gachustan/Arusha). Kipindi tumeanza kwenda shule za boarding (baada ya la saba) ndio...
8 Reactions
78 Replies
865 Views
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva. Mhe Kafulila...
13 Reactions
93 Replies
2K Views
Karibuni kwenye mada. Nawiwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa Kahama na Njombe au Mafinga. Je, ni mji gani mzuri na una future kubwa kifursa kuliko mwenzie in terms of maendeleo na ukuaji...
33 Reactions
19K Replies
732K Views
Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya...
11 Reactions
65 Replies
961 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,803
Posts
49,581,328
Back
Top Bottom