Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
267 Reactions
164K Replies
5M Views
Sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
22 Reactions
157 Replies
2K Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
64 Reactions
385 Replies
10K Views
Kila mtu hata kama ni jasiri kiasi gani lazima kuna kitu atakuwa anakiogopa tu. Hitler mwenyewe aliogopa mtihani. Katika mazingira yalituzunguka tunaishi na viumbe hai wengi yaani mimea na wanyama...
3 Reactions
45 Replies
485 Views
Nielimisheni hii kitu sote tunajua tunaishi layer ya trotosphere 0-20 km na ndo kwenye hewa nzuri ya oxygen. Ndege za abiria zinakwenda stratosphere sasa ndege inatumia mfumo gani mpaka mnavuta...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hili nimekutana nalo sana tu na ukiona hadi Kitu GENTAMYCINE anakisema basi jua kwa 100% kina Ukweli wake wote Oky?
14 Reactions
105 Replies
2K Views
Nimesikitishwa sana kwa Ban ya siku 14 niliyopata kizembe kwa kumtukana Popoma. Nikiri halikuwa jambo jema hata kidogo na sitarudia tena hadi pale kutakapojitokeza ulazima wa kufanya hivyo...
1 Reactions
10 Replies
116 Views
Naona Makamanda humu Mitandaoni wamechachamaa kwamba Star link gharama zake za internet ni kubwa kwa nchi fukara kama yetu Ndio nauliza hizo gharama mnazilinganisha na nini Hata zionekane zina...
1 Reactions
5 Replies
9 Views
Kwanini unchallenge mtu wa rais? Mnaoponda Waziri wa Rais maana yake hapo una mchallenge Rais na Rais hapingwi. Ukimdharau mtu pengine awe na madhaifu ndio tumpelekee Rais ili akae na watu wake...
0 Reactions
5 Replies
38 Views
Nina mbwa mkubwa. Sasa kila mara nikiongeza wadogo ili niongeze idadi hawakai hata mwezi wanakufa. Wanapitia dalili za kunyongonyea, kupoteza hamu ya kula, wala hawarishi na then hata kam tabibu...
0 Reactions
3 Replies
4 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,023
Posts
49,620,283
Back
Top Bottom