Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Askofu mkuu wa makanisa ya Methodist,Joseph Bundala amejinyonga ofisini kwake kwa kutumia waya wa simu.
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Nimekuwa najiuliza KAZI za Waziri ni zipi?Je ni kusimamia Sera ktk Wizara yake au Kuzunguka Nchi nzima kutatua MIGOGORO? Wizara ya Ardhi ni moja ya Wizara zinazoongoza kwa Migogoro Nchi kwa Miaka...
0 Reactions
7 Replies
41 Views
Picha, Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mb Mhe Qs Omar Juma Kipanga akipanda Katika Boti kutoka Kijiji Cha Juani kata ya Jibondo Tarafa ya Kusini MAFIA-PWANI ikiwa ni kuwatembelea...
1 Reactions
2 Replies
62 Views
Mdoli huyu hata vitoto vyenye certificate ya electronic ya pale VETA vinaweza kuujenga. Mdoli eti mpaka uusogelee usubiri dk kadhaa apate hisia ya kunyoosha mkono . Mdoli waneupaka rangi ya...
4 Reactions
14 Replies
292 Views
Wakuu kwema? Kichwa cha habari hapo juu kinajieleza. Mimi nimeoa, mke mzuri na mrembo hasa. Ila cha kushangaza, ktk kipindi cha miezi miwili hivi, nimejikuta natamani sana pisi za pembeni, hata...
10 Reactions
31 Replies
433 Views
1. Rafiki wa kweli hujulikana wakati wa dhiki: 2. Hii itakuwa habari mbaya mno kwa wasayuni wote kuanzia Tell Aviv, hadi Buza pande za kwa Mpalange huko. 3. Mwizi ni mwizi tu huyo ni wa...
2 Reactions
25 Replies
552 Views
Rejeeni andiko hili hapa e-GA inahujumiwa njama za kuhujumu eGA Mipango yakuiua ega ilianza toka zamani ,maswali ya msingi haya nani ana majibu yake 1.Kwa nini wanaitoa wizara ya utumishi? 2.Kama...
6 Reactions
36 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Salamu kamsalimie waziri wa Afya. Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii. Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/=...
3 Reactions
23 Replies
207 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,758
Posts
49,640,095
Back
Top Bottom