Mtaani kuna mambo sana mimi napenda kula, yanga, kucheza mziki na pombe mara nyingi nikiwa ndani ya vitu hivyo huwa nacheka na kufurahi na kupenda kutania watu huwa ninacheka cheka sana yaani...
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma.
Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
Habari za Jumatatu wanajamii.Pia hongereni kwa pirika za kutafuta pesa za mahitaji yako.
Ninajua mpaka kufika katika umri ulionao kuna makosa kadhaa ushafanya na pengine ukawa unajutia.
Hapa...
Evidence Is Now emerging Indicating the Iran Presidential Helicopter Crash WAS an Assassination
MAY 20, 2024
The crash of the Iran Presidential Helicopter is starting to appear to be a...
Rais Biden wa USA amesema Nchi yake inapinga amri ya ICC ya kuwakamata Waziri mkuu wa Israel mh Benjamin Netanyahu na Waziri wake Gallant
Biden amesema ni makosa makubwa kuwaweka Israel kwenye...
Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.
Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana...
Bila shaka wengi wetu tunajua huyu mdada alifiwa na mume wake wa kwanza.
Baadae akatokea ustaadhi mmoja hapa chuga akamsilimisha na kumfanya mkewe.
Baada ya muda dogo akadoda wakachana akawa...
E bana wanajamvi inakuwaje?
Nyie Sunni tunawajuwa vizuri mlivyo na chuki kwetu. Huu msiba wa mpendwa wetu Ebrahim Raisi ni wetu washia siyo wenu. Acheni kujipendekeza.
Mtuache tuomboleze kwa...
Mwalimu, kwa viwango na kipimo chochote kile, alikuwa kiongozi mwenye upeo na uelewa mkubwa kuliko Rais yeyote aliyefuata baada yake. Alifanya mambo makubwa sana kwa kuzingatia wakati wake.
Kosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.