ANAANDIKA BICHWA KOMWE:-
Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo?
Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MPANGO NA BAJETI KWA MWAKA 2023/24 NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2024/25
Upandishaji Vyeo
Mheshimiwa Spika, kuanzia Julai, 2023 hadi Aprili...
Nimeisoma kwa kiasi fulani Imani ya Kiarabu na Kiyahudi. Hizi imani mbili zinafanana, zote zinamkana Yesu Christu ndio maana maisha yao ni ya laana ya vita hadi hadi Yesu arudi. Warabu na Waarabu...
Nawasalimu wote wanajukwaa,leo nataka tujifunze silaha kuu tano zinazotumika katika ulimwengu wa kiroho.
Kama wengi tunavyojua kuwa katika ulimwengu wa kiroho kuna falme kuu mbili,falme ya kwanza...
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa;
Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo....
Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
Tunatengeneza blog nzuri na kukuunganisha na matangazo ya kukulipa maishani kwa idadi ya wanaosoma blog yako. Unapata blog kwa sh elfu 19 ikiwa na. Sub domain ya dotBlogSpot Au lipia elf 30...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.