Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe...
Waziri Nape ameyasema hayo leo Bungeni wakati akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari tarehe 16/5/2024
Mambo vipi wanandugu.
Nimekaa na kutafakuri Sana.
Hizi ndoa ambazo hazidumu huwa ni laana tupu.
Kama Baba yako mzazi alimuacha mama yako akaenda kuoa mke mwingine basi tambua hiyo laana...
Oya wanajamvi ...Kuna hizi kampuni wanatangaza kazi afu unapiga aptitude test online, Moja wapo ni ALISTAIR nawataja kwa majina sababu nafanya hip-hop...oy muwachane TU kama hawana mpango wa...
Ndinga Hilo
Gari ipo vizuri sana
Gari ya mwaka 2022.
PRICE/BEI: 122M
EXCHANGE/NAVUNJA NA GARI YOYOTE✅
FORD RANGER STORM TRACK 🛻
Year:2022
Engine Capacity:2.0cc
Engine: DIESEL TURBO
Kilometer...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 27, leo Mei 16, 2024 ambapo pamoja na Maswali na Majibu, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye atasoma...
Salamaleko,
Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa;
Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo....
Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.