Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye...
Haya ndugu zanguni kwa wale waliosoma elimu za lugha ya kiarabu kama nahaw swarfu balagha tukutane hapa kwaajili ya kukumbushana baadhi ya mambo katika lugha,
Tutumie jukwaa hili kwa manufaa sio...
Salary 1.5 m net
Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja.
Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi.
Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka
Malipo awamu tatu...
Jeshi la Polisi mkoa wa Arusha leo Mei 16, 2024 limepokea msaada wa pikipiki 20 toka benki ya CRDB kwa ajili ya kuimarisha usalama wa raia na mali zao katika Mkoa huo.
Akikabidhi pikipiki hizo...
Salaam, Shalom!!
Nimesoma Uzi ulioletwa na Roving Journalist unaohusu jibu la TUNDU Lisu kukanusha tuhuma dhidi yake zilizoibuliwa na mwana JF.
Nimelazimika kuuliza swali Hilo hapo juu baada ya...
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
Ndoa ni maridhiano baina ya mtu(mme) na mtu(mke) kisha yakaidhinishwa ama kukamilishwa kwa sheria ya dini, kiserikal ama tamaduni. Suala la kuvunjika ndoa nyingi za vijana limekuwa ni kawaida siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.