Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba leo anayejua anieleweshe hapa, kwa nia nzuri kabisa. Yesu alisema tuombe kwa kupitia Jina lake, inakuwaje watu wanaomba kupitia maria? naangalia tumaini tv hapa padre akasema tuombe kwa...
17 Reactions
245 Replies
3K Views
Hii ni kwa malipo ya "congestion charge" hili ni tozo inayobidi ulipe unapotumia gari baadhi ya maeneo London, so haya ni magari ya ubalozi wa TZ London yemekusanya hizi fees tangu 2003 ambazo...
0 Reactions
8 Replies
204 Views
A
Mimi ni Mtanzania ninayeishi Marekani, kuna Mtanzania mwenzetu mbaye alikuja kama Mwanafunzi hapa, sijui vizuri kuhusu historia yake huko nyuma. Miaka kadhaa iliyopita alipata changamoto ya Afya...
22 Reactions
85 Replies
2K Views
Ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa. Sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao...
4 Reactions
32 Replies
408 Views
Sijamsikia siku mbili hizi. Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja. Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
2 Reactions
4 Replies
5 Views
Dr Kigwangalla ni kama Mganga wa Kienyeji Wakati mwingine huongeaga kinyume chake Najua Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe anaweza kukwazika kwa kuitwa Ayatollah au Kabaka na huyu Kigwangalla lakini...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Waziri Mkuu Bibi, katika kauli thabiti na pasipokupepesa macho ametoka hadharani kulaani kile alichokiita makosa makubwa ya Muendesha Mashtaka wa ICC. Netanyahu anasema Israel itajilinda na...
0 Reactions
3 Replies
124 Views
Mbunge wa zamani wa Viti Maalum kupitia Chadema ambaye sasa amehamia CCM, Upendo Peneza amesema kabla hajama chama hicho, aliomba ushauri kwa Rais wa zamani wa Liberia Ellen Johnson Sirleaf na...
8 Reactions
34 Replies
751 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Utambulisho wa Viongozi wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Bungeni wakati wa Uwasilishwaji wa Bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, tarehe...
3 Reactions
15 Replies
588 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,582
Posts
49,666,739
Back
Top Bottom