Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wapendwa naitaji mnunuzi mwenye kujua thaman ya uwekezaji Nauza place yangu heka 3 . Location: njia ya bagamoyo mkenge Document: Zipo na linatambulika na serikali ya kijiji Nilinunua 2019...
2 Reactions
11 Replies
155 Views
Blinken aitolea wito Hamas ikubali 'pendekezo barabara sana' la kusitisha vita Ghaza Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ameitolea wito Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina...
0 Reactions
7 Replies
180 Views
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar. Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
4 Reactions
203 Replies
4K Views
Hii nchi ina mambo ya ajabu sana mpaka mtu unashindwa kuelewa hizi taasisi zinafanyje kazi. Mfano mzuri Shirika la Viwango pamoja na Tume ya Kuwalinda Walaji ziko wapi wakati watu wanaingiza...
0 Reactions
3 Replies
13 Views
I will be short Simba since last season wamepata offer nyingi za kibu denis wamegoma kuchukua hela. contract yake inaisha wanataka kumpa new contract then wamuuze kwa faida. maana kuna over 600k...
3 Reactions
45 Replies
929 Views
Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada wa maelezo wa uwanda wa ajira kati ya kozi Bsc in Environmental health science na Bsc in Environmental Science and managememt. Je ipi ni bora?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Juzi niliudhuria send-off Moja mkoa X, Huyu Binti ni mwenyeji wa huo mkoa, sasa alipata mchumba mkoa mwingine na alikubali kuolewa, aliyekuja kumuoa alimwambia direct kwamba nataka kukuoa, yule...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Wakuu, Hawa wadudu wameapishwa kuwa walinzi na kupambana watu kwa mafunzo gani? Kwa sifa gani walizonazo mpaka Makonda ameamua kuwaapisha? Huku "KUPAMBANA" na kila mtu "AKAYECHAFUA" heshima na...
5 Reactions
29 Replies
714 Views
Malaika Gabriel, Raphael, Gadiel, etc Jini Sharif, Maimuna, etc Kwanini?
15 Reactions
129 Replies
2K Views
MITHALI 18:22 Apataye mke apata kitu chema naye ajipatia kibali kwa BWANA. WAEFESO 5:31 “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa...
19 Reactions
162 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,850,458
Posts
49,547,144
Members
667,477
Latest member
ramadhanramadhan
Back
Top Bottom