Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndugu zangu Watanzania, Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari...
-1 Reactions
79 Replies
1K Views
Nilitarajia tangu awali kusikia hatua za kufungiwa kwa Yanga zikienda pamoja na TFF kutamka kuipoka Yanga pointi katika michezo yote waliyomchezesha Pacomme kinyume na kanuni. Hata hivyo...
1 Reactions
47 Replies
1K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
1. Ni Joe Biden Marekani, au Bibi Israel? Kumbe wapi kuna kalika?! 2. Kwamba kwao sasa ni kama kwetu tu na kina Muroto?! Hawa ndugu si walikuwa wakimnyooshea kidole jiwe dhidi ya migomo na...
5 Reactions
84 Replies
1K Views
Wakati Chadema wanatangaza kuandamana Nchi nzima, kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na Sheria mbovu na za kijinga za Uchaguzi, wako wale wenye Ubongo mfupi waliobeza na kutamka kila neno baya...
10 Reactions
70 Replies
832 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
31 Reactions
115 Replies
3K Views
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa...
11 Reactions
110 Replies
3K Views
Salute mate.. Huko china miaka ya 544BC alizaliwa bwana mmoja anaitwa Sun Wu, huyu bwana alikua jenerali wa jeshi la uchina ya zamani. Anafahamika zaidi kama Sun Tzu, alikua ni mtaalamu wa...
11 Reactions
26 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,725
Posts
49,526,088
Members
667,226
Latest member
nassoromtangi
Back
Top Bottom