Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika ulimwengu wa Teknolojia biashara zimerahisishwa sana,unachohitaji ni taarifa sahihi kwa wakati sahihi. Kupitia KV dropshipping tunakusaidia kupata taarifa sahihi za biashara yako na...
1 Reactions
21 Replies
335 Views
Sikiliza Afande Sele alivyowashukia CHADEMA hapa
16 Reactions
122 Replies
3K Views
Ukiangalia kwa makini watu wenye asili ya kigoma ni kwamba utagundua kuwa ni so innovative, brilliant, akili kubwa na ndo wana run tanzania hii. Mfano. Ali kiba Diamond platnumz Haji manara...
2 Reactions
28 Replies
349 Views
Wazanzibar wanafaidi gawio lao na upande wa pili wanafaidi gawio Tanzania yote ambayo wao pia ni watanzania, watanganyika sisi tunafaidikaje nje ya hilo gawio la muungano ambalo wazanzibari pia...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel...
2 Reactions
12 Replies
166 Views
Kwa namna mambo yalivyo na namna mambo yanavyoendelea, nashawishika kusema waliotaka kukiuka katiba baada ya kile kifo walikuwa sahihi sana. Watu hawa wana macho makali yanayoona mbali kama ndege...
13 Reactions
75 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
Naomba kujua kuhusu hili shindano la BIG BROTHER. Yaani huwa sielewagi watu wanashindanishwa nini na mshindi anapatikanaje. Kila nikiingia kwenye hiyo channel naona vijana wadogo wamefungiwa...
26 Reactions
147 Replies
7K Views
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani. Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
4 Reactions
90 Replies
2K Views
Habari JF , binafsi nadhani kuna haja ya kuwa na Jukwaa la habari yaani huko tupate habari kutoka sehemu mbali mbali , huko mtu anae hitaji kupata taarifa zinazohusu habari na matukio mbali mbali...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,435
Posts
49,574,215
Members
667,938
Latest member
Regina Minja
Back
Top Bottom