Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

All the Best Mnyama 🦁 Updates za Mchezo wa Leo.. Kikosi cha Simba Kinachoanza. Updates... Mpira unaendelea kwa kasi Kidogo. Simba wanajaribu kufanya mashambulizi kwenye lango la Tabora DK 5'...
7 Reactions
229 Replies
3K Views
Kwa wale wapenzi wa Hiph-hop wote masikio yetu yameelekezwa kwenye bifu ya Drake na Kendrick. Mpaka sasa kila mmoja ameshatoa ngoma si chini ya 4 na mchuano ukionekana kuwa bado ni mkali. XXL...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ukitaka Tundu Lissu akae na awe Mpole basi mlete nguli wa sheria Mzee wetu Wassira. Wote Wamarekani hawa Nitajaribu kumtafuta pale Maktaba kwake aje atufungie huu Mjadala wa Muungano Kaa Chonjo 😄
1 Reactions
16 Replies
291 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
50K Replies
3M Views
Mpaka sasa Elie Mpanzu Kibisawala (striker) ana asilimia nyingi za kutua Yanga. Philip Kinzumbi (winga) ameshawekewa ofa ila Raja nao wameweka ofa mezani. Mpaka sasa kila kitu kipo kwenye...
0 Reactions
2 Replies
36 Views
1. Hapa hii ni habari mpya: 2. Kutokea hapa Israel atokee mlango upi? 3. Ni vifijo na vigele gele Gaza, ngoja tuone.
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Ukanda wa Gaza: Makumi ya roketi yarushwa kuelekea Israeli. Makumi ya roketi yamerushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israel Jumamosi asubuhi, Oktoba 7, na kusitisha makubaliano ya usitishwaji...
39 Reactions
9K Replies
895K Views
Salaam, shalom!! Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma, Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
"Ukiona Wewe ni Kiongozi halafu Kutwa unasifiwa na Watu wa Magharibi ( Wazungu ) na siyo na Watu wako wa nchini Kwako jua una matatizo na kuna shida mahala" Kalonzo Musyoka. Chanzo: Citizen TV...
1 Reactions
7 Replies
157 Views
A/alleikum Naitwa Bakari Hamisi mkazi wa Dar es salaam. Umri 32 miaka. Kazi: Muajiliwa (Electrical engineer) Natafuta mchumba ambae atakuja kuwa mke kama tukiridhiana Sifa Uwe Muslim Elimu yoyote...
2 Reactions
10 Replies
70 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,710
Posts
49,582,124
Members
668,133
Latest member
Miss hasss
Back
Top Bottom