Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Itsa WEEKEND. Tuanze nayo hivi basi ... 1BR Sarah anatafuta makazi mapya hapa jijini Los Angeles lakini kazi hii inakuwa ngumu sana. Kwanini? Pesa ndogo. Akipata panapofaa, basi kodi ni kubwa...
0 Reactions
7 Replies
71 Views
Wakuu, Nina hili tatizo muda mrefu hata nijiloweke kwene jiki bado ngoma iko pale pale. Nashukuru Mungu ni mwanaume ningekua Mwanamke nadhan ningeteseka zaidi. vitu ninavoogea 1. Deto ya maji...
4 Reactions
27 Replies
293 Views
Nimeweka uzi wa kumuomba nguli wa AI na robotics na teknolojia kwa ujumla mh Nape atoe msaada kwa polisi Tanzania kwenye mfumo wao ulioshindwa kupatikana kwa toka siku ya kwamza mods wameufuta...
0 Reactions
11 Replies
12 Views
Uwe ni mdada,au mkaka,uwe na mchumba na unasita kuamua,kuoa au kuolewa,sikia usisite,amua haraka na iwapo unataka ushauri njoo inbox.Na iwapo huna mchumba na unahitaji msaada,pia usisite kuomba...
5 Reactions
29 Replies
370 Views
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali. Hajui chochote kuhusu business. For your information Facebook is more better in business than instagram...
2 Reactions
1 Replies
2 Views
Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru...
7 Reactions
46 Replies
873 Views
Yaani jitu limeenda shula haadi chuo, lakini hajui tofauti ya ‘Meter’ na ‘Square meter’. Bidhaa imetanganzwa kwamba bei ni kiasi ‘X’ kwa ‘Square meter’ , ila yeye anakuja anakwambia na ‘meter’...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia...
6 Reactions
53 Replies
342 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
21 Reactions
127 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,663
Posts
49,637,456
Back
Top Bottom