Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
4 Reactions
8 Replies
109 Views
Mkurugenzi Mkuu wa PPP nchini Bw David Kafulila kupitia kipindi cha DK 45 kinachorushwa na runinga ya ITV ameeleza kuwa Mwekezaji aliyewekeza kwa Ubia na Serikali ya Paul Kagame ya Rwanda kwa...
7 Reactions
51 Replies
613 Views
Kutoka Ufaransa , Mwenyekiti Samia amefanikiwa kuitambulisha ajenda yake ya kuwasidia Wakinamama wa Afrika kuondokana na matumizi ya Kuni na mkaa(Nishati chafu) Kwa kufanikiwa kupata ahadi za...
4 Reactions
11 Replies
68 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
17M Views
Kabla ya Uchaguzi boss alitaka amuweke mrithi wake kwenye kampuni yake, mrithi anayemtaka yeye. Ila kutokana na upinzani mkubwa ndani ya kampuni maamuzi magumu ilibidi yafanyike Baada ya Uchaguzi...
215 Reactions
11K Replies
3M Views
Kuna malalamiko hasa upande wetu sisi wanaume juu ya tabia moja ya kuomba hela inayofanywa na wanawake. Tabia hii imepewa jina "Kuomba hela" sababu ndicho kitendo kikuu hapo hakuna jambo lingine...
0 Reactions
2 Replies
21 Views
Saa 10:00 jioni, Dodoma Jiji watakuwa nyumbani dimba la Jamhuri wakiwakaribisha Simba SC Ni mnyama ama walima zabibu nani kuondoka na alama tatu? Mchezo huu utaruka mbashara hapa JamiiForums...
2 Reactions
32 Replies
357 Views
1. Wadada ( Wanawake ) kuogelea wakiwa katika Periods ( Hedhi ) zao na Kuchafua kabisa Maji hadi Kukinaisha wengine? 2. Watu kwa Makusudi kabisa Kukojoa ndani ya Maji? 3. Kuukweka kwa Wastani?
0 Reactions
1 Replies
2 Views
1. Siku zote simamia kwenye ukweli na uhalisia, usikubali kubali tu. 2. Ongea kwa ujasiri na uwazi, tena ongea kwa speed ndogo sio unaongea haraka haraka kama chiriku. 3. Unapo ongea na mtu...
20 Reactions
54 Replies
762 Views
Wazanzibari nimeamini Shukrani Hawana Nilikuwa kijiwe kimoja pale kisiwandui Zanzibar Baadhi ya wazanzibari walalamika Raisi Samia kuwapa wazanzibari ajira Bara kuwa wanaharibika na kuua...
1 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,605
Posts
49,636,089
Back
Top Bottom