Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari...
9 Reactions
65 Replies
1K Views
Watu wengi siku za weekend huwa wanafanya shughuli tofauti wakiwa home au nje ya home. Vipi mdau wewe unapenda kufanya nini zaidi? Toa maoni yako
1 Reactions
10 Replies
96 Views
Mtu mwenye Msongo wa Mawazo huwa na 43% zaidi ya kupatwa na Kifo cha Ghafla kuliko mtu asiye na tatizo hili Pia, huongeza nafasi ya kuugua Magonjwa sugu, kujiingiza kwenye tabia hatarishi kama...
0 Reactions
7 Replies
938 Views
Kuna kasumba imejengeka ambayo inaweka classes za watu kulingana na Mkoa wanakotokea. Mathalani Mikoa ya Business Class (VVIP) ,Hawa Hujiona superclass na kwamba wanastahili attention Dar Arusha...
13 Reactions
122 Replies
1K Views
Maana ya Msongo wa Mawazo (Sonona) Msongo wa mawazo ni mfadhaiko wa akili anaoupata mtu kutokana na shida, taabu, dhiki, matatizo au changamoto zinazomkabili katika maisha ya kila siku. Mtu...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Kutoka Ufaransa , Mwenyekiti Samia amefanikiwa kuitambulisha ajenda yake ya kuwasidia Wakinamama wa Afrika kuondokana na matumizi ya Kuni na mkaa(Nishati chafu) Kwa kufanikiwa kupata ahadi za...
6 Reactions
91 Replies
488 Views
Ilikuwa nishuke kituo A ila hakuna tatizo hata nikishukua kituo B au C
6 Reactions
15 Replies
266 Views
Mwanaume upo kwenye mtoko na mwanamke wako, mwanamke wako kavaa nguo inaonesha hadi vitu vya sirini, mwanaume unakenua jino tu ukiwa umeshikamana na mwanamke wako hadharani. Mnapiga na picha na...
9 Reactions
39 Replies
860 Views
Mbunge wa Singida Mashariki bwana Elibariki Kingu ameoneshwa kusikitika na Watanzania kutolipa Kodi kama inavyotakiwa wakati huo huo wanadai Maendeleo na kutoa lawama sana. Amesema Chi zote Zenye...
5 Reactions
62 Replies
885 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
1 Reactions
147 Replies
9K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,638
Posts
49,636,849
Back
Top Bottom