Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari...
17 Reactions
180 Replies
4K Views
Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru...
7 Reactions
48 Replies
903 Views
HABARI WANA JF LEO TUPEANE MBINU NA TUWAPE MBINU VIJANA WENZETU AU NDUGU ZETU NAOMBA LEO TU SHARE IDEA JE ULITUMIA NJIA GANI KUACHANA NA MCHEZO MCHAFU WA KUJICHUA ??????????
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Wimbo wameambia mshikaji na demu unapoanza anaanza kuimba dada anasema "ana stress siku mbili hajala" sina hakika kama nimepatia.Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari za mwisho wa weekend wanajamii. Naamini kila kila mtu ana aina yake ya starehe,lakini hapa nimejikita zaidi kwenye starehe yenye kuhusisha Pombe. Je,kwa Mara ya kwanza ulivyotumia...
1 Reactions
1 Replies
24 Views
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali. Hajui chochote kuhusu business. For your information Facebook is more better in business than instagram...
8 Reactions
19 Replies
95 Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu leo 17/05/2024 amekabidhiwa lile gari lake alilokuwemo siku mawakala wa Shetani walipoamua kumuua baada ya kushindwa...
21 Reactions
135 Replies
3K Views
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”. Sasa Humo Bungeni anafanya nini? Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
21 Reactions
124 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amewataka Watanzania kamwe wasikubali kurudi kwenye Bakora za Shujaa Magufuli aliyewanyoosha kwa kuzuia mikutano ya kidemokrasia Kuna watu wanasema udikteta ni...
0 Reactions
11 Replies
141 Views
Habari za jioni wanaJF, kwanza nitangulie kusema sina mgogoro wowote wa kifamilia, kuhusu kazi sio mwajiriwa ni mchakalikaji wa mtaani, sina madeni ya kutisha ambayo may be yanaweza kunipa stress...
1 Reactions
21 Replies
193 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,670
Posts
49,637,697
Back
Top Bottom