Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Natumai wote mnaendelea vizuri na kwa ambao mko na changamoto Mungu awafanyie wepesi mrudi kwenye hali zenu za kawaida nawaombea🤲🏽🤲🏽.. Najua sio jukwaa husika lakini nimeliweka hapa kwasababu ni...
21 Reactions
59 Replies
330 Views
Leo mbumbumbu fc wako uwanjani dhidi ya Dodoma jiji lakini mambumbumbu yapo kimya tu hata kuanzisha uzi wa kutuhabarisha kuhusu hii mechi hayataki yamekua kama Mwasi kitoko ni mwendo wa kuzira tu.
1 Reactions
14 Replies
32 Views
Kikosi ch Simba kinachoanza
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Kwa mujibu wa mtandao wa Score 90 wametoa kikosi chao bora cha muda wote katika soka. Unakubaliana nao, kama hukubalianai nao nani anatakiwa awepo kikosini?
0 Reactions
17 Replies
425 Views
Wasalaam wana jamvi, Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa...
14 Reactions
103 Replies
3K Views
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
6 Reactions
141 Replies
2K Views
Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
16 Reactions
242 Replies
7K Views
Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku. Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake...
8 Reactions
46 Replies
780 Views
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu. Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa...
20 Reactions
2K Replies
206K Views
1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
4 Reactions
181 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,598
Posts
49,635,714
Back
Top Bottom