Wakuu, habari za muda na wakati huu.
Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa...
Moja kati ya vitu vizuri na kuvutia zaidi ni kuona jina zuri aliloku sev mwandani wako
Mbali na kutia faraja ila pia huleta hari kujihisi furaha kwa mwenza
Je umesev vipi jina la kipenzi chako...
Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi.
Kinachotakiwa sasa hivi ni kila...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye...
Mimi najutia nilifanya investment badala ya kufanya savings.
Mwisho wa siku biashara zimekufa sina savings hata moja.
Najutia kutonunua viwanja pesa yote nikaweka kwenye miradi ambayo yote...
Habari Wadau,
Mwenye uelewa juu ya kuomba maombi ya Moja kwa Moja kwenye mfumo naomba ufafanuzi. kati ya vacancy request na transfer request kipi kinatangulia?
Je kutokujaza vacancy request...
Siku chache baada ya mmoja wa Wafanyakazi mwenzetu kuripoti juu ya madudu yanayoendelea ndani ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania (TSN) inayojihusisha na uchapaji wa magazeti ya Habari...
Hiii!
Kuna siku nilipanda bajaji from town kwenda home. Kutoka kituo nilichopandia abiria tulipanda ile Bajaj tulikuwa watu mimi na mama mmoja akiwa na mtoto wake mdogo range kama 2-3 years.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.