Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Watanzania hasa wa Jiji la Dar wameonesha kulalamika hatua ya Wachina kuamua kufanya biashara za Uchuuzi Badala ya Kuwa Wawekezaji Kama Vibali vya ukaazi walivyoomba. Wachina wameonekana maeneo...
3 Reactions
20 Replies
462 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
71K Views
Hii kampenzi ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
7 Reactions
92 Replies
1K Views
ANAANDIKA BICHWA KOMWE:- Hizi shule zinazoitwa "international schools" zinafundisha nini cha ziada sana ambacho hakimo penginepo? Ni kweli, shule zina mazingira mazuri na yanayofurahisha, lakini...
19 Reactions
172 Replies
3K Views
Dispensary inauzwa 120M, ipo Michese Dodoma, eneo lina ukubwa wa 956 mita za Mraba, majengo mawili, Sehemu yakusubiria wagonjwa na jengo la RCH. Hakuna Dalali
3 Reactions
5 Replies
151 Views
Yaani umeonana tu mtu mlisoma nae na hamjawahi kuonana takribani miaka 15, ghafla tu anakwambia mwaka huu naoa kadi yangu ya harusi hii. Naomba namba yako nikuunge kwenye group. Miaka yote hiyo...
14 Reactions
44 Replies
700 Views
Salam wana JF! Kuna sintofahamu kubwa imeibuka miongoni mwa watumishi wa umma hasa wale wa kada zingine tofauti na walimu. Hii ni kutokana na namna serikali inavyoonyesha ubaguzi katika...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke. Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona...
5 Reactions
37 Replies
678 Views
Nilitembelea website flani huko mitandaoni wanaposti mikeka imetiki yani sure odds fixed matches, nikalipa dola 30 takribani shilingi elf 70 kuungwa kwenye group, humo ndani ni upuuzi mtupu game...
1 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,704
Posts
49,638,714
Back
Top Bottom