Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Kijana uliemaliza kidato cha nne au cha sita.. kabla ya kufanya maamuzi ya kusoma Diploma in clinical medicine yajue haya.
Clinical medicine ni kozi ya diploma ya utabibu (udaktari) ukisoma hii...
Basi tulilolitumia ambalo lilikwama njiani tukasaidiwa na RTO (Regional Traffic Officers)
Nikiwa mmoja wa Wasafiri katika Basi la BM, tukitoka Dar kuelekea Arusha, ambapo liliondoka Dara majira...
Hawa miamba wa Kiarabu niliowataja Vifo vyao vimekuwa kana kwamba ni Watu wasio na intelejensia inayowalinda
Japokuwa hii ya Ebrahim Raisi inadaiwa inatokana na Exodus 14:14 " Mungu Atawapigania...
Kila kona anapigwa spana. Sijui hakujiandaa kuwa Rais alishtukia amekuwa Rais hivyo hakujua anachofanya ofisini kabisa. Yeye kila aliyekuwa anaonesha ana mawazo positive ya kumzidi yeye basi...
Nikiwa na miaka 16 niliwahi mshuhudia jamaa yangu fulani akifanya punyeto (Masturbation) akanifundisha jinsi ya kufanya, nilipofanya mwishoni nilisikia raha moja ya ajabu sana, siku iliofuata muda...
Wadau wiki mbili zilizopita, dada mmoja, simu ya google pixel 4 ilizima ghafla, akaipeleka aliponunua China plaza.
Walipompeleka kwa fundi, fundi akamwambia anazo zingine 2 nazo zimezima ghafla...
Kwenye maisha kuna muda wanaume tunapendwa na wanawake tusio wapenda kwa mfano kwangu mimi niliwaigi kupendwa na mwanamke nisiye mpenda kiasi kwamba hadi aliniomba namba za simu ili tuwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.