Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake.
Pia...
Tumekuwa tunahimizwa kutumia Gas badala ya mkaa ili kulinda mazingira. Lakini nashindwa neno sahihi la kukiita sijui ni wizi au ni Utapeli Kwa kujaziwa sijui ni mchanganyiko wa Maji na gas katika...
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.
Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa...
Wakuu habari za jioni?
Kama tittle inavyosema huyu ni mke wa mtu nilikuwa napiga zamani ila nikaamua kumuweka pembeni lakini bado haelewi somo anasema bora ndoa yake ivunjike ila sio kuachana na...
Novemba mwaka jana, aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo, alilazimika kujizulu kufuatia hujuma alizofanyiwa na genge la wahuni ambao walitengeneza meseji na picha feki za Whatsapp na...
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu...
Habari zenu wakubwa kwa wadogo.
Kwanza napenda kutoa pole na shughuli za kutwa kwa wale wahangaikaji wote kama mimi ambao kila siku lazima tutoke ili tuweze kujipatia riziki halali kila siku...
Wewe ndio kocha kwenye timu yako, unatakiwa uchague mmoja kati ya Musiala au Bellingham kwenye kikosi cha kwanza unaenda na nani?
Jamal Musiala
Jude Bellingham
Tumezoea mataifa makubwa kama MAREKANI inapokaribia uchaguzi wakati wa Uchaguzi kuingilia kati na kutoa statement mbali mbali na kwa kiasi inasaidia watawala kupunguza kasi dhidi ya upinzani...
Ukweli uko hivo
Anzia mahakamani, polisi, hospital na idara nyingine kote wanajilia rushwa kama wametumwa,
Sasa hawa watu hawafai kuongezewa mishahara maana wanazoiba ni nyingi mno.
Wafanyakazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.