Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mtu anakwambia hamna neno kitanda hakizai haram lea tu huyo mtoto hata kama sio wako, you guys hii si sawa, yaani una mumeo umemsaliti ukambebea mimba ya nje bado ukambambikia na mtoto juu halaf...
18 Reactions
52 Replies
2K Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane! Nimekuwa nikiwasikia watu wanaojiita "Madaktari" pamoja na watu wanaojiita "Wataalamu wa lishe" wakizungumza au wakitoa ushauri wa namna ambavyo...
6 Reactions
17 Replies
236 Views
Ligi ya NBC inaendelea leo ambapo Simba SC itapambana na Geita Gold kwenye uwanja wa Chamazi Complex. Simba inatafuta nafasi ya 2 huku Geita Gold ikijinusuru kushuka daraja. Mechi hii itapigwa...
4 Reactions
129 Replies
3K Views
Mbunge wa Iringa mjini mh Jesca ameitaka serikali kupiga marufuku Waigizaji wa Kiume kuigiza kama Wanawake Jesca amesema Wanaume hawa wakishazoea kuigiza kama Wanawake wanaweza kujisahau na...
5 Reactions
19 Replies
396 Views
Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hawa miamba wa Kiarabu niliowataja Vifo vyao vimekuwa kana kwamba ni Watu wasio na intelejensia inayowalinda Japokuwa hii ya Ebrahim Raisi inadaiwa inatokana na Exodus 14:14 " Mungu Atawapigania...
11 Reactions
102 Replies
3K Views
Hellow wanachit chat Mi mgalikoko , ni kwa nini mnanitenga sana humu chitchat? Hasa ule uzi wa mention someone without any reason just to disturb them? Mbona mimi sijawahi bahatika kutajwa...
3 Reactions
19 Replies
53 Views
Naomba mnipe haki yangu ya kuuliza kile ambacho nakishuhudia katika makundi, jamii na nchi mbali mbali. Yaani katika muunganiko au mkusanyiko wa wa level yeyote ile, iwe familia, ukoo, wilaya...
4 Reactions
9 Replies
66 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
26 Reactions
6K Replies
131K Views
Mhe David Kafulila Mkurugenzi Mkuu wa Ubia nchi PPP amewatoa hofu Watanzania kuwa Serikali yao ya awamu sita ina nia na dhamira njema dhidi yao. Katika kipindi Cha DK 45 Cha ITV Kafulila...
10 Reactions
82 Replies
632 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,797
Posts
49,672,757
Back
Top Bottom