Huna nyumba, au unanyumba ya chumba kimoja au viwili vya kulala wakati una familia
Unatumia usafiri wa umma kwenye shughuli zako
Kiasi cha pesa kinachoingia kwenye Account mwisho wa mwezi...
Ndugu zangu Watanzania,
Nikitizama na kufuatilia namna vyama vya upinzani vinavyoendeshwa ,vinavyofanya maamuzi yake,mfumo wa uongozi na namna ya kupokezana madaraka, uvumilivu na demokrasia...
Kwa mujibu wa mtandao wa Score 90 wametoa kikosi chao bora cha muda wote katika soka. Unakubaliana nao, kama hukubalianai nao nani anatakiwa awepo kikosini?
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan...
Uwe ni mdada,au mkaka,uwe na mchumba na unasita kuamua,kuoa au kuolewa,sikia usisite,amua haraka na iwapo unataka ushauri njoo inbox.Na iwapo huna mchumba na unahitaji msaada,pia usisite kuomba...
Leo mbumbumbu fc wako uwanjani dhidi ya Dodoma jiji lakini mambumbumbu yapo kimya tu hata kuanzisha uzi wa kutuhabarisha kuhusu hii mechi hayataki yamekua kama Mwasi kitoko ni mwendo wa kuzira tu.
Natumai wote mnaendelea vizuri na kwa ambao mko na changamoto Mungu awafanyie wepesi mrudi kwenye hali zenu za kawaida nawaombea🤲🏽🤲🏽..
Najua sio jukwaa husika lakini nimeliweka hapa kwasababu ni...
Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.