Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mimi sio shabiki wa KATAA NDOA ila kwa hili wapo sahihi OKOA kibunda
12 Reactions
31 Replies
545 Views
Vigogo wa Klabu ya simba wameweka jina la Florent Ibenge kama mrithi sahihi wa kocha aliye ondoka ndani ya timu Yao Abdelhak Benchika. Ibenge mshindi wa CAF Confederation Cup na mwana fainali ya...
1 Reactions
19 Replies
644 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views
Kindly refer to the heading above.. Na hii sio mwanamke wako tu, hata yule ambaye unamtaka. Kwa mfano; [emoji116] Money transfer successful! TSH 200,000.00 was sent to NMB Bank account no...
44 Reactions
469 Replies
5K Views
Katika ulimwengu wa Teknolojia biashara zimerahisishwa sana,unachohitaji ni taarifa sahihi kwa wakati sahihi. Kupitia KV dropshipping tunakusaidia kupata taarifa sahihi za biashara yako na...
0 Reactions
17 Replies
203 Views
Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth...
6 Reactions
36 Replies
985 Views
Ndugu zangu nataka mtakasike. Amina Hakika nimeangukia kwa mtoto wa kinyiramba. Mwanamke ni mweupe soft kweli kweli, mrefu wa wastani ,nyusi, nywele na kope za kuvutia . Ana macho flani hivi ya...
4 Reactions
30 Replies
604 Views
ni vizuri mkafanya vikao vya ndani, kurekebisha na kusahihisha kasoro na dosari zinazoonekana mpaka nje ya chama, amabazo zinaweza kuathiri taswira, umoja na maelewano ya viongozi waandamizi wa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Nimepita bar fulani ina mgahawa, nimeulisa nyama choma wakasema kipande 6,000, nikasema anifungie. Sasa nyama imechomwa, imefungwa kwenye kile kifuko cha karatasi cha khaki, ndani kuna foil...
2 Reactions
26 Replies
118 Views
Dah eti "kila mtu ana mshahara wake tusipelekeshane" ujinga sana huu wakuu. Sina mengi.
4 Reactions
21 Replies
157 Views

FORUM STATS

Threads
1,851,150
Posts
49,566,197
Members
667,813
Latest member
mambatz
Back
Top Bottom