Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Upendo kwenu wana MMU. SABABU 3 NILIZO NAZO NI HIZI: 1. Kupenda ni hisia inayo weza badirika- kama itakuwa ni primary reason ya mahusiano husika basi siku hisia hizi zikibadirika mahusiano...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa kweli mzee wa watu anatia huruma hana wa kumsemea ameamua kunyamaza, ila nadhani akifungua mdomo Tina atatafuta pa kujificha. Tina kila siku ni kumchamba mzee wa watu, yaani ukae kwenye ndoa...
42 Reactions
262 Replies
6K Views
Wengi wamesikia kuhusu kauli ya Nape akiwa Bungeni akilalamika na kufoka kuhusiana na kauli ya Tundu Lisu aliyoitoa, akimtaja Rais Samia ni Mzanzibari. Hoja aliyoisimamia Nape ni kule kumwita Rais...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
2 Reactions
56 Replies
1K Views
Natumai wote ni wazima katika siku zangu chache hapa Jamii Forums. Hasa Jukwaa la Mahusiano Mapenzi na Urafiki nimegundua jambo ambalo naona ni vizuri nikasema ninavyoliona; Ukisoma katikati ya...
1 Reactions
148 Replies
11K Views
Najua Mijuha ( Fools ) watakuja hapa Kunishanga na Kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais ( ADC )...
0 Reactions
19 Replies
205 Views
Wakuu habari. Hii nimekuwa nasikia sana kuwa unapoenda kutoa mahari huwa hatumalizi unatoa robo tatu ya ile uliyo pangiwa, hata mimi nilitoa nusu mpaka leo sijamalizia sijui kwa wenzangu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana Jamii Forums. Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri kabisa, mpo mnawaza mambo mawili matatu kwa ajili ya kuendesha gurudumu la Maisha.Sasa nina tatizo nitaomba ushauri uliojaa busara...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za...
5 Reactions
8 Replies
172 Views
Nishawahi soma hapa jf hasara za kuwa na mahusiano au mapenzi na ndoa za mbali. NIMESHUHUDIA-jamaa yangu alipata mchumba ambaye walikuwa wanasoma naye chuo fulani huko morogoro, mara baada ya...
0 Reactions
39 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,849,799
Posts
49,528,181
Members
667,238
Latest member
Ricfree
Back
Top Bottom