Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeona kabisa kwa jicho la tatu kuwa anayetufaa hivi sasa kutupeperushia bendera ktk uchaguzi ujao awe Profesa Kitila Mkumbo , Huyu atatufaa sana na ni mtu wa hoja zilizo shiba haswa mfano hili...
1 Reactions
68 Replies
637 Views
Sote tunafahamu na tunatambua kuwa uchawa (chawaism) upo katika nchi hii na katika ngazi tofauti za uongozi, lakini kitendo cha mtu kuonyesha uchawa uliopitiliza ni zaidi ya uzwazwa. Nilipomsikia...
7 Reactions
78 Replies
2K Views
NAMUNGO vs SIMBA | kabumbu itasakatwa leo saa 12:00 jioni katika Dimba la Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi. Jongea kwenye uzi huu, kunyaka kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Unadhani nani...
4 Reactions
74 Replies
2K Views
Kuna tetesi madini yamekuwa yakinunuliwa kwa kasi ktk mikoa ya Geita na Shinyanga na wafanyabiashara wasio wazalendo. Wafanyabiashara hao hupewa mitaji na serikali ya Rwanda japo wao ni...
10 Reactions
62 Replies
773 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, ile wiki ya Maandamano awamu ya kwanza, inahitimishwa leo, ambapo Mjini Morogoro kunafanyika maandamano yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za...
9 Reactions
37 Replies
924 Views
Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile. Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa...
6 Reactions
47 Replies
1K Views
Shukrani Kwa wadau wote kuni support kwenye hihi kazi kama mnavo ona
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wengi wanaogopa sana kujenga ghorofa wakizani labda mpaka uwe na pesa nyingi ndio ujenge. Ukiamua hakuna kinachoshindikana, kama umeweza kujenga nyumba ya chini,jua una uwezo pia wa kujenga...
30 Reactions
116 Replies
19K Views
1) Mfalme Nero 2) Mfalme Nebuchadnezzar 3) Alexander the Great 4) Adolf Hitler
5 Reactions
77 Replies
2K Views
Nimekuwa nasoma na kusikia kuwa wakati Tanzania tunapata uhuru tulikuwa sawa au karibia usawa na China kiuchumi na ndiyo maana walikuwa marafiki zetu, sasa nikawa najiuliza sana walitupitaje...
6 Reactions
20 Replies
180 Views

FORUM STATS

Threads
1,849,886
Posts
49,531,094
Members
667,268
Latest member
peter one
Back
Top Bottom