Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari wana JF Matumaini yangu wote mko poa kabisa. Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
261 Reactions
425K Replies
15M Views
Wadau hamjambo nyote? ======= Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imemteua Suzan Peter Kunambi kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT). Kamati hiyo...
1 Reactions
18 Replies
758 Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
23 Reactions
839 Replies
23K Views
Habari zenu wana JF. Mimi ni ME Ninayeishi Daslam iliyochangamka. Natafuta binti wa kazi ndugu zanguni Binti awe na umri kati ya miaka 17 na 22. Awe mwaminifu, msikivu na mwenye moyo wa huruma...
0 Reactions
4 Replies
29 Views
Form 4 una “A” za kutosha, Form 6 una Div 1 kali (point 3-7), Chuo una first class, distinction. Mpaka unakufa sahau kabisa kumiliki gari kama hii. Utakaza sana ila utaishia kuendesha Passo...
7 Reactions
22 Replies
212 Views
kwanini wanawake wengi siku hizi wanapenda kuingiliwa kinyume na maumbile? Naomba mawazo yenu wana JF ------------------------------ Asilimia 26.5 wanawake hufanya mapenzi kinyume na...
10 Reactions
2K Replies
630K Views
Ndugu wana JF - Jukwaa la Siasa; Mjadala wa muungano tata wa Tanganyika na Zanzibar (1964) unaendelea tena leo.... Na kwa kweli mjadala huu haupaswi kuishia njiani isipokuwa tu wote tumeelewana...
7 Reactions
171 Replies
4K Views
Sasa unajiuliza kama hapo tu nje ya ofisi za DC kijana Mkurugenzi binti mdogo kabisa ni Mazalia makuu ya Mbu kwingine kukoje? Na ukifatilia Mkuu wa Wilaya ni kijana mbichi kabisa, Mkururgenzi ndo...
3 Reactions
12 Replies
297 Views
Wanabodi Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na kwa Maslahi ya Taifa, kila Jumatano kwenye gazeti la Mwananchi na Jumapili kwenye gazeti la Nipashe na kwenye kipindi cha KMT on Channel...
6 Reactions
75 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,314
Posts
49,658,264
Back
Top Bottom