Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ni muda mrefu sasa baada ya kilaza kupewa Cheti kutoka UDOM kwa msaada wa Baba yake aonekana.
4 Reactions
93 Replies
2K Views
OQP - ONLY QUALITY PEOPLE ( MY PRACTICE ) Na Comrade Ally Maftah. JITU LA MIRABA Katika mfumo ambao nauboresha zaidi sasa ni mfumo wangu wa OQP - Only Quality People. Kwenye mzunguko wangu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama...
2 Reactions
21 Replies
104 Views
Hizi ni baadhi ya shida za Wananchi ambazo Mkuuu wa Mkoa anapaswa kuzitatua. 1. Mimi nilikuwa Mzuri ila mume wangu kanifubaza kwa Mateso Mkuu wa Mkoa nisaidie" hiyo ni Kauli ya mmoja wa wanawake...
0 Reactions
1 Replies
18 Views
Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji". Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM. *Aliwakusanya masingo...
8 Reactions
22 Replies
728 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
4 Reactions
30 Replies
601 Views
Baada ya kuona kwenye Habari Serikali imeanzisha Mfuko wa Nishati Safi ya Kupikia nikaona ni vema tuangalie kwa nchi Yetu Nishati hio ni ipi na ni vipi itatufaa, ili tusije kuingia gharama ambazo...
11 Reactions
34 Replies
623 Views
Ndugu zangu ajira za jeshi la polisi 2024 zinatoka/ kutangazwa lini?
0 Reactions
4 Replies
695 Views
Majiko haya ni ya kimkakati katika kuhakikisha tanzania inakua ya kijan,ni majiko ya nishat safi ya kupikia yanayotumia oil chafu kama nishati safi ya kupikia,tunatoa huduma za kila aina...
1 Reactions
6 Replies
137 Views
Baada ya kukaa kwenye ndoa kwa miaka miwili Ally alitaka kuoa mke wa pili, Mama yeke alimuuliza sababu akasema kuwa mke wake kabadilika sana, tangu amekuoa amekua mtu wa kisirani, mtu wa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views

FORUM STATS

Threads
1,852,831
Posts
49,581,678
Back
Top Bottom