Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki.
Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa".
Swali...
Imedaiwa kuwa Safari ya siku 4 ya Rais William Ruto ambaye amealikwa na Rais Joe Biden, itagharimu takriban Tsh. Bilioni 3.94 kutokana na uamuzi wa Ikulu ya Kenya kukodi Ndege aina ya Boeing...
🏾
*PRAY FOR AFRICA*
Bill Gates Dirty Tricks in Burkina Faso and Nigeria, by Sussy Vozniak, reporter for Intelicor Press, Vienna.
Paris: Secret documents leaked on the fiasco in Burkina Faso...
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, yeye hachepuki na kwamba yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia?
Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dkt. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda...
Serikali imewataka wananchi kuelewa kwamba hakuna Malipo ya Fidia kwa walioathiriwa na bomoabomoa ya kupisha utanuzi wa barabara ya Kimara-Kibamba
Serikali imesema bomoabomoa hiyo ilitumia Sheria...
Kiwanja kipo kigamboni kisarawe 2
Km 1 kutoka barabara kuu.
ukubwa ni 20 kwa 20
Kipo eneo zuri linaloanza kuendelea
Bei ni milioni 5 (mazungumzo yapo)
Hakuna dalali ni changu mwenyewe...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wadau mambo ni gani aseee?
Nimehitimu chuo mwaka 2020, BSC education chemistry and biology from SUA.
Historia ya safari yangu katika elimu from primary mpka chuo ipo hivi...
Kwanza nianze kwa...
Magari hayo ni ya kimkakati na kazi maalumu. Yatasamabazwa kwenye kila kanda, katika kanda zote za kichama nchi nzima. Magari haya yatakua chini ya usimamizi wa vuingozi waandamizi wa kanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.