Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hili ni bandiko la utabiri, Hii tume haina maisha marefu, serikali itaibomoa kabla ya mwaka 2030. Ujio wa NIDA umeleta changamoto kwa NEC sababu kitambulisho chs mpiga kura hakina matumizi...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Unakuta upo kwenye mahusiano na mwanaume,kazi yake kusifia unavyopendeza. Ukimuomba kitu fulani,kiasi fulani cha fedha danadana nyiiiingi,vuta subira. Ukipita au ukienda kwake au akikuita hotel...
17 Reactions
193 Replies
1K Views
Hili halitoki kwa wana CCM bali kwa makamu mwenyekiti wa CDM ndugu Lisu
1 Reactions
10 Replies
72 Views
A
Anonymous (48e6)
JIMBO LA ITIGI LIMEOZA JAMANI: ORODHA YA MIRADI AMBAYO ILITOLEWA FEDHA NA SERIKALI NA BADO HAIJAKAMILIKA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI MKOA WA SINGIDA. Huyu Mwenyekiti wa Halmashauri...
4 Reactions
10 Replies
241 Views
Hilo ni ombi langu kwa Watanzania wote na Mungu wa mbinguni atawabariki sana Nawatakia Dominica Njema 😄
7 Reactions
59 Replies
351 Views
Mnakumbuka tulisajiri kipa kutoka America kusini ligi daraja la nne, uto na viongozi wao waliongea sana hatimaye akaenguliwa. Wenzetu wapo vizuri kwenye kutumia udhaifu wa mpinzani, ila kwetu...
1 Reactions
10 Replies
100 Views
Aliyekuwa Mtayarishaji wa Video za Muziki wa Bongo Flava Nchini, Khalfani Khalimandro amefariki Dunia Director Khalfani alilazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) akiwa...
8 Reactions
51 Replies
1K Views
Kama wapo wafike Halmashauri ya itigi, Kuna uozo mkubwa. Mkurugenzi wa itigi, na wakuu wote wa idara, wanatakiwa wawe jela muda huu.
0 Reactions
1 Replies
4 Views
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili. Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba...
22 Reactions
192 Replies
9K Views
Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi...
19 Reactions
155 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,309
Posts
49,570,101
Members
667,863
Latest member
shumoli
Back
Top Bottom