Mlango wa fahamu wa sita ni ule uwezo wa kunusa hatari au kufikiria hatua kumi mbele kabla ya tatizo halijatokea na kuweza kulizuia( pre-emption) na matumizi ya akili ya ziada(The use of...
Hii ndio Habari mpya inayozunguka mitandaoni kwa sasa, kwamba yule Nesi Mwamba aliyehakikisha Lissu anaendelea kupumua amekutana na Tundu Lissu Jijini Dodoma.
Pamoja na mengi yaliyozungumzwa kati...
Balozi wa Marekani amesema ni dhambi na aibu kwa Nchi yoyote kuruhusu mtu mwingine yoyote bila kujali ni America, China au Pluto kuja Nchini kwako kuchukua Rasilimali zako kisha kutengeneza fedha...
i have been looking for an app in app store. with all the league stats, news and players, including clips
any leads? au hatuna wasomi? maana TFF NA KALIA NI vichwa maji this i know...
Carlo Ancelotti raia wa Italia ana rekodi kubwa ya kuwa kocha aliyefika Fainali 5 na kubeba mataji manne ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), mara 2 akiwa AC Milan na mara 2 akiwa...
Katika ujenzi hasa wa majengo marefu (maghorofa) matumizi ya nondo ni jambo lisilo epukika.
Baada ya kupata michoro kutoka kwa msanifu majengo (Archtect) michoro hiyo haina budi kupelekwa kwa...
Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na...
Maisha ya chuo yana vurugu nyingi sana za kingono. Hosteli watu wanapigana "exile" kila siku. Waliopanga mitaani wanapika na kupakua pamoja kana kwamba wameoana. Wadada wengine wanapigwa "mtungo"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.